🌐 Languages
SMZ Logo

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA ZANZIBAR

ZDCEA Logo

Kanali: Burhani Z. Nassoro

Kamishna Mkuu

"Dawa za kulevya ni janga linalotishia mustakabali wa taifa letu. Tunapambana kwa nguvu zote kukomesha biashara hii haramu na kusaidia waathirika kupata maisha mapya."

🚫

Dawa mpya za Kulevya

Dawa za kulevya zinaharibu maisha, familia na jamii

2,345+ Dawa Zilizokamatwa
1,287+ Waathirika Waliopona
189+ Kemikali Zilizodhibitiwa
Pata Msaada

Ukweli kuhusu Dawa za Kulevya

Elimu sahihi kwa jamii yenye afya

🌿

Bangi

Husababisha matatizo ya akili, kupoteza motisha na kuharibu ubongo hasa kwa vijana

Jifunze Zaidi →
❄️

Cocaine

Husababisha mshtuko wa moyo, kiharusi na matatizo makubwa ya afya ya akili

Jifunze Zaidi →
💉

Heroin

Husababisha uraibu mkali, hatari ya maambukizi ya VVU na kifo kutokana na overdose

Jifunze Zaidi →
🌱

Mirungi

Huharibu ubongo, husababisha dalili za skizofrenia na matatizo makubwa ya kisaikolojia

Jifunze Zaidi →

Vituo Tiba

Huduma za matibabu na uponyaji kwa waathirika wa dawa za kulevya

🏥

Huduma za Matibabu

Tunatoa huduma kamili za matibabu kwa waathirika wa dawa za kulevya ikiwemo matibabu ya awali, utabibu na ufuatiliaji.

Pata Msaada
🏘️

Vituo Tiba

Vituo vyetu vya tiba vipo katika kila mkoa, vikitoa huduma bora kwa wale wanaohitaji msaada wa kitaalamu.

Tafuta Kituo
🏠

Miongozo

Mpango wa ukarabati na kuwawezesha waathirika kurejea katika jamii na kuwa na maisha yenye tija.

Soma zaidi

Kituo cha Habari

Taarifa za hivi punde kutoka ZDCEA

📢 Taarifa kwa Umma

Uzinduzi wa Kampeni ya Elimu Dhidi ya Dawa za Kulevya
Uzinduzi wa Kampeni ya Elimu Dhidi ya Dawa za Kulevya
Kampeni ya kitaifa ya elimu dhidi ya dawa za kulevya imezinduliwa na itahusisha shule, vyuoni na majumbani kote nchini....
Utekelezaji wa Sheria ya Dawa za Kulevya Sura ya 95
Utekelezaji wa Sheria ya Dawa za Kulevya Sura ya 95
ZDCEA imeanzisha operesheni maalum ya kukabiliana na wauzaji wa dawa za kulevya katika mikoa ya Zanzibar.......
Soma Zaidi →
🎥

Maktaba ya Video

Tazama video za elimu, mahojiano na matukio muhimu ya ZDCEA

Tazama Video →
📸

Maktaba ya Picha

Angalia picha za shughuli mbalimbali za ZDCEA

Angalia Picha →

Habari Mpya

Matukio na taarifa za hivi karibuni

2026-07-23 News 1

RAIS DKT. MWINYI AHIMIZA MALEZI BORA NA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA

....

Soma Zaidi →
2026-07-22 News 1

ZDCEA NA DCEA ZAADHIMISHA SIKU YA KUPIGA VITA MATUMIZI NA BIASHARA HARAMU YA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI.

....

Soma Zaidi →
2026-07-13 News 1

Wanne Kizimbani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya

VIJANA wanne, akiwemo raia wa Romania, Ale....

Soma Zaidi →
Tazama Zaidi →

Nifanyaje?

Mwongozo kwa Umma

🆘

Nina Shida ya Dawa za Kulevya

Pata msaada na ushauri wa kitaalamu kwa siri na haraka

Pata Msaada
📢

Natoa Taarifa ya Muuzaji

Toa taarifa kwa siri kuhusu wauzaji au watumiaji wa dawa za kulevya

Toa Taarifa
👨‍👩‍👧

Mtoto Wangu Anatumia Dawa

Jinsi ya kumsaidia mtoto wako na kupata ushauri wa kitaalamu

Jifunze Zaidi
🏫

Elimu kwa Jamii

Nyenzo za elimu kwa shule, vikundi vya jamii na taasisi

Pakua Nyenzo

Machapisho

Nyaraka, ripoti na tafiti muhimu

Contact us
Contact us